Munishi
Group:
Members Posts: 80 Joined: Nov. 2003
|
 |
Posted: Feb. 20 2004,20:07 |
 |

http://munishi.com/
Nashukuru kwamba wengi wameanza kunielewa. Lakini kuna wale ambao
bado kwa makusudi hawataki kuelewa kwamba Munishi mimi sijaacha kuihubiri
injili. Ila wanakataa ukweli kwamba Injili ni maisha na sijui wapi
utajenga ukuta useme injili inaishia hapa na siasa inaanzia hapa.
Katika hilo tukubaliane kutokukubaliana.
Kwangu kuikemea CCM na serikali mbovu ya Mkapa, ndiyo Injili yenyewe
hiyo. Injili inakataa maovu ya kila aina. CCM aliyoanzisha Nyerere
ni baba wa maovu Tanzania. Ndiyo maana kwangu ni sawa na JEHANAMU
Tanzania.
Sasa magazeti yameanza kunishambulia eti nimejaribu kusema nitakuwa
Rais wa nne Tanzania. Kuna ajabu gani mimi kuwa Rais? Nina kila kinachohitajika
kuwa Rais wa Tanzania.
Vyombo vya habari vijue hivyo na viache kunisakama.

Mfano gazeti la Nation, Limeacha sera zake za karibuni za kuisifu
serikali ya Kibaki, na sasa wameanza kunishambulia.
Hatutegemei kazi ya gazeti iwe ni kuipinga serikali tu, Sambamba na
hilo hatutegemei gazeti liwe linaimba sifa za serikali hata pale serikali
inapokosea. Nation wanafanya hivyo bila haya. Tangu serikali mpya
waingie madarakani gazeti la Nation limekuwa likiyafumbia macho makosa
yao, huku wenzao Standard wakiwa mstari wa mbele kuyakemea. Baada
ya Nation kuisoma "Stori" hii, Kiranja wao Wilfred Kiboro alikasirishwa
sana. Haraka aliamuru sera za gazeti hilo zibadilishwe na kuanza kuikemea
serikali. Sasa kama hawaikemei serikali kwa sera mbovu za usafiri,
Kiboro mwenyewe anakuwa habari, kama siyo habari kuwa Kiboro. Walianza
na Kibaki mwenyewe pale waliporipoti kwamba aliporomoka kwenye ngazi
za Ikulu na kutonesha majeraha ambayo tayari alikuwa nayo. Serikali
iliwapuuza kwani ilikuwa na kazi ya kuwanyamazisha Standard waliokuwa
wamezidi na kelele zao. Ni ukweli usiopingika kwamba Nation ya Kiboro
inaboronga na inaporomoka, huku Standard wakijigamba kwamba wameshika
usukani. Sijui kama wasomaji watarudisha imani yao kwa Nation tena.
Tunasubiri tuone. Serikali ni kama inafanikiwa. Kwani Standard nao
wanaonekana kwamba mdomo waliokuwa wakiupanua sana kupiga kelele,
umewekwa kitu, na sasa sauti haitoki sawasawa. Kwamba wanaopinga ndio
wanaozawadiwa, inaonekana kuwaumiza Nation na CITIZEN. Sasa wameanza
kupinga. Lakini wakiwa wamechelewa. Nani aliwadanganya wanasiasa watakumbuka
fadhila? Wanajidai kuwasaidia Kana kwamba wanajitetea, Nation waliandika
kuhusu mhariri wa gazeti hili na kujaribu kuichambua web site hii.
Lengo ni kuonyesha kwamba mkuki kwa Nguruwe ni sawa, lakini kwao ni
wa uchungu. Sikia walivyonisakama hapa.
How politics derailed
the Munishi gospel crusade
By DAN TENG’O
He came, he saw and conquered the local gospel music scene. But not
any more. The lustre that Faustin Munishi had in the 80s when he took
the local gospel music scene by storm seems to have faded out.
The once-famous artiste, who popularised solo gospel music in the
early 1980s when the genre was dominated by choirs, is no longer enthralling
fans with hypnotic vocals and idiomatic Kiswahili rich in imagery
and symbolism as he used to.
Since 2000, when the Tanzanian Government banned the evangelist’s
seventh gospel cassette titled, Mpende Adui (Love the Enemy) owing
to its political views, nothing has been heard of him, at least musically
speaking.
Instead, the Arusha-born Munishi has remained steeped in political
activism for the past few years and has now decided to fight for his
cause via his website.
Munishi, who is credited for rocking the local gospel music scene
with seven delightful music albums, has vowed to censure Tanzania’s
ruling party, Chama cha Mapinduzi (CCM), until its downfall, of which
he seems sure.
On his website, which is full of his family pictures, Munishi claims
that he has been "anointed by God" to free Tanzanians from the country’s
ruling party. To hammer the point home, Munishi attacks the party
with acid lyrics of the opening track for the album Mpende Adui.
In true vitriolic fashion, Munishi’s website has a link entitled
"Wasikilize waongo!" (Listen to the liars!
which, upon clicking, directs one into the Tanzanian National Website.
He takes a swipe at President Benjamin Mkapa’s government, accusing
it not only of misruling Tanzania, but also of human rights abuses.
He cites himself as an example of a gagged citizen, saying copies
of Mpende Adui were confiscated by police for allegedly disparaging
the Mkapa government.
"Tanzania is for all its citizens and not Mkapa’s or CCM’s
as it seems to be," he trumpets in his website, adding that Mkapa
claims to know everything that is good for Tanzania yet the opposite
is true.
On the website, he hits at the US virulently, much as he did in the
song titled Msiabudu America (Don’t worship the US), featured
in his controversial seventh album. In the song, he accuses the US
of denying people visas unnecessarily.
Also on the receiving end of Munishi’s attacks are journalists
and local media houses with the exception of KBC (Kenya Broadcasting
Corporation), which helped to boost his musical career back in the
mid-eighties and BBC which granted him a full interview during his
tug-of-war with the Government of Tanzania, which he confesses to
hate.
He rails at radio stations for being overly commercial. "Their aim
is not to inform or entertain. They are out to broadcast commercials.
They use commercial means to target believers, thus injuring their
faiths. Their programmes gloss over matters to do with faith," he
says.
Before finding a vocation in music, Munishi, 44, worked as a painter
in Arusha. In 1980, he acquired an accordion and started to sing old
Sunday school themes such as Niko Chini ya Mwamba which became a number
one single in Kenya.
Munishi became a born-again Christian that year and joined Tanzania’s
Bishop Mosses Kulola’s entourage as a singer before ditching
the old preacher for a solo music career in Nairobi.
His debut album registered mild success. The second, Niko Chini ya
Mwamba, however, put the singer into big business. In 1989, he went
back to Arusha and married Ms Prisca, with whom they sang a duet in
the opening track for the third album "Yesu na Wewe" (Jesus and you).
From then, the wife never sang in public again, thus causing the wide
speculation that she had actually ditched the singer.
In 1993, Munishi made another trip to Arusha (in a sleek white Mercedes
Benz) to refute the allegations and did it at an open-air crusade,
where the alleged estranged wife accompanied him in a musical number,
just to prove that she was still around.
Munishi is blessed with three children, the oldest being Mojashi,
who immediately after being born, joined the father's singing group
in Nairobi by the name "Mojashi Choir".
The choir collapsed later and so did Munishi’s own newspaper,
Injili, whose first and only copy came out in 1996.
Most of the newspaper material has been repackaged in his website
which, like the print version, is full of Munishi’s various
profiles in the positive and his "enemies" in the negative.
Meanwhile, Tanzanians last week saluted the 25th anniversary of the
death of Mbaraka Mwinshehe Mwaruka in a motor accident in Kenya.
Mwaruka died in a Mombasa hospital in 1979 apparently out of excessive
blood loss following a road accident. It was a dark day for Tanzania
and East African music, and about which his family still grieves.
|