Ukurasa wa mbele
Soma barua Yahoo
Soma barua Hotmail
Sikiliza waongo


Ukimwi unaua: Asema Kenedy Ochieng


Gazeti INJILI
Kwenye Internet
-


http://www.munishi.com

Tel. 254-722-602445 E-mail:
munishi@munishi.com


Wasiliana na Mtume Justin Kimathi Maarufu kama Konkara wa Konkara +254720260211


Munishi aachilia DVD Mpya. Ni nyimbo za kitambo Lakini ametengeneza Video yake na kuzifanya mpya tena. Inaonekana nyimbo za msanii huyu hazitishwi na muda. Badala yake zinashamiri kila miaka inavyopita. Zilirekodiwa 1990 na 2008 Video yake imetoka. Ina viwango vya kimataifa. Picha ya cover inazungumza yenyewe. Imechomolewa kwenye video yenyewe. GTV tv ambayo bado ni ndoto za Munishi ndiyo iliyofanya kazi ya kuitengeneza video hii. Inasifika kwa kutengeneza VOL 7 na 6, na sasa imekuja na Vol. 3. Utaipenda. Itafute.


Maoni ya Munishi Kuhusiana na ripoti ya waki.

 
biashara| http://munishi.com |