Wengi husema kwamba Bishop Kitonga ni mwanasiasa.
Lakini yeye mwenyewe anasema kuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeitwa
kuhubiri Injili Kwa kila kiumbe, na wafalme wa dunia hii wakiwa
wamojawapo.

Saitoti akisikiliza Mausia.
Je ! bahati itamwangukia aachiwe madaraka? Waswahili husema MVUMILIVU
HULA MBIVU. Tusubiri tuone.

Askofu Kitonga
Wafuatao ni wasaidizi wa Askofu Kitonga
katika kanisa la Redeemed Gospel Huruma.