Ukurasa wa mbele
Soma barua Yahoo
Soma barua Hotmail

Habari Zaidi

 Munishi siyo Mwanasiasa

Munishi Katika Picha

CCM imezeeka
haitufai
Tanzania


Serikali Kenya yatishia kubomoa kanisa la Pastor Muiru Yeye Husema KUNA NURU GIZANI Lakini sasa inaonekana giza nuruni


Mjue mch. Lusekelo


Bishop Mwasumbi


Mrs. Wilfred

Mazuri ya Nyerere?
Bishop

Katiba Mpya

River Road Gospel Tapes


Lenny Aokoka, Asema OGOPA DJ ni waabudu Shetani. Adai ilikuwa atolewe sadaka kwa Shetani ndipo Mungu alipomwita aokoke. Asema wasanii wengi wamekutana na vifo vyao katika mazingara ya kutatanisha Tena asema sasa atamwimbia Mungu badala ya BABY DONT GO!
Habari Zaidi



Rev.JB Masinde Nairobi inamwita BABA Kweli ni baba wa wengi kiroho


Mjue Bishop Arthur Kitonga


Miss Ester Gospel Singer Nairobi


Mrs. Saimon Gospel Singer Dar Er Salaam


Bishop Mark Kariuki Amzika Lianda

Rev. Lianda


Miss Lianda


Bishop Maboya


EV. Mrs. Doro


Mr. Meti

Mrs Meti


Bishop Wanjiru


Makala Tumaini Jema


Mch. Merisheki Kila akiwaza..



Nairobi Katika Picha

 



Gazeti la INJILI
Kwenye Internet

http://www.munishi.com

Tel. 254722602445 E-mail: munishi@munishi.com Or
info@munishi.com

Soko la Mitumba Gikombaa Nairobi

Soko kuu la Gikomba kama linavyoonekana sasa baada ya mikasa miwili ya moto ulioliteketeza. Lakini wafanyibiasha waliopania bado wanalifanya soko hilo kuwa hai, mbali na mikasa ya mara kwa mara.


Matope mengi wakati wa mvua hayawazuii wateja kulitembele soko la gikpmba ambalo huonekana kama mkombozi wa wananchi wa kiwango cha chini kimaisha. Mitumba hapa ni bei nafuu ukilinganisha na nguo mpya dukani.


Huyu ni kijana Jackson Kamau ambaye hakuogopa kamera za wapiga picha wetu na kukubali kuhimili mwanga wa flash za kamera tofauti na wengine walioogopa kusimama mbele ya Kamera. Yeye huuza viatu ambayo hupendwa sana na vijana. Laiti angekuwa na E-Mail angewauzia hata vijana wa nchi vilikotoka viatu vyenyewe bila wao kujua kuwa vilikuwepo kwao, vikavaliwa na wahusika wakaviuza kama mitumba Afrika. Sasa kwa kutumia Internet Kamau angeweza kuviuza viatu vyake huko majuu vilikotoka. Na hapo angekuwa amemkaanga samaki kwa mafuta yake mwenyewe.


Oswady Mtei anatumia simu za mkononi na internet kuuza mitumba yake. Yaani mtu aliye Mombasa au Nakuru anaweza akanunua mitumba On line kwa kuwasiliana naye katika simu 254722795520


Kina mama nao hawajaachwa nyuma. Huyu ni Mary Nduku Mwoke. Hapo anapokea oder ya mashuka ya mitumba kutoka katika maofisi makubwa ya Nairobi. Wengi katika maofisi hayo huona haya kwenda Gikombaa na kuchagua mitumba. Lakini sasa kutumia Internet wanaweza kuagiza mitumba waitakayo wakiwa kwenye viti vya ofisi zao. Na hayo ndiyo maendeleo.


Angalia mwenyewe uchague ni rangi na saiz gani halafu piga simu na italetwa ofisini mwako baada ya nusu saa kwa wale walio Nairobi


Ukiwa Kenya piga 0733856705 na ukiwa popote duniani tumia nambari hii 254733856705. Usisahau jina ni Mary Nduku Mwoke.


Hawa ni John Nyoroge na Albanus Maweu. Wao huuza hapo kwa hapo.


Mteja aliyekuwa anaogopa kunaswa na wapiga picha wetu.


Dicory Kawishe Mfanyi biashara maarufu katika soko la Gikombaa Simu ni 254722304634.


Mteja akichagua baadhi ya mitumba katika duka la Dicory Kawishe. Wale wanaowahi wakati furushi la mitumba linapofunguliwa kwanza huchagua zile nguo ambazo ni nzuri na kwenda kuziuza kwa bei ya juu tofauti na kama ungeifuata mwenyewe Gikombaa. Wenyewe wanaziita nguop katika kamera. Sasa unaweza kununua mwenyewe kutoka popote duniani kwa kufanya kitu rahisi, nacho ni kupiga simu kwa Kawishe nambari 254722304634

Hii ni kanda mpya ya video katika VCD, ambayo Mchungaji Munishi aliitoa mapema mwaka 2004 na ilipoanza kusambaa Tanzania serikali ikaipiga marufuku. Ndani ya video hiyo kuna maneno kama CCM chama cha majambazi na wauaji.Pamoja na nyimbo mpya. Jipatie kanda hiyo uonje UHONDO.

Upande wa nyuma wa kasha la video mpya ya Munishi.

Hii pia ni moja ya Kanda mpya ya video katika VCD. Ndani yake kuna vichekesho vya kuvunja mbavu. Bwana Godfrey Gathena Kuniara maarufu kwa jina la kisanii Ole Soipei ndiye msanii katika kanda hii.Usiikose.

Hapa kuna VCD mpya ya Waciama. Nyimbo ni kwa lugha ya KIKUYU. Picha pamoja na kuhariri vimefanyika Gospel Television.Utaipenda.

Bonyeza HAPA kwa picha zaidi

 

Full Name
E-mail
Subject
Message
   
   



 
| http://munishi.com |