www.munishi.com
Site Loading.
Please
Wait.
Rich in Images
Munishi aachilia DVD Mpya. Ni nyimbo za kitambo
Lakini ametengeneza Video yake na kuzifanya mpya tena. Inaonekana nyimbo za
msanii huyu hazitishwi na muda. Badala yake zinashamiri kila miaka inavyopita.
Zilirekodiwa 1990 na 2008 Video yake imetoka. Ina viwango vya kimataifa. Picha
ya cover inazungumza yenyewe. Imechomolewa kwenye video yenyewe. GTV tv ambayo
bado ni ndoto za Munishi ndiyo iliyofanya kazi ya kuitengeneza video hii.
Inasifika kwa kutengeneza VOL 7 na 6, na sasa imekuja na Vol. 3. Utaipenda.
Itafute. MATANGAZO YUKO
WAPI?
|
Contact
us/
|
||
|
|